Wednesday, May 28, 2014

Dina Marios new year statement

I love what Dina Marios wrote after all the blah blah that was said against her...
I call it blah blah because it was all her business and none of anyones business,people are good at saying stuffs about people who they really don't know, neither have they been in their shoes...
What i fail to understand is why people always want to know more about others more than they actually know themselves.
Well this is what she said as quoted from her blog.

"Nimekaa muda kimyaa maswali yakawa mengi kuhusu mie kuwa mjamzito.Sikutaka kuzungumza hapa ili kukidhi kiu ya udaku kwa yule alokuwa akihoji tena wengine walikuwa wakituma comments na kashfa juu.Niliamua kukaa kimya nideal nalo mimi mwenyewe personal.Kama ulishawahi kusoma nilichowahi kuandika hapahttp://dinamarios.blogspot.com/2013/05/maisha-bila-mama.html
nilielezea maisha yangu ya nyuma yalivyofanya niwe muoga wa kuwa mama au kuolewa kama hukusoma ingia hapo usome.
Kwa hiyo hili lilipotokea nilihitaji love and support ili kusimama na kuamini kila kitu kitakuwa sawa.
Nashukuru Mungu nimepata hivyo vyote kutoka kwa mhusika mkuu.Anaitwa Reuben Ndege sio meneja wa skylight band kama walivyandika wadaku na wadakuzi.Amenipa love and support kwa kila hali.Tumekuwa wapenzi kwa miaka mingi sana lakini kama ujuavyo mapenzi ya ujana off and on zisizoisha kuvurugana kila leo.Ila sasa tupo pazuri.
Familia yangu pia baba yangu Mzee Peter amekuwepo na mimi bega kwa bega maana ndio baba ndio mama kwangu.
 
Pichani mimi,my brother in law Shady,mama mkwe,shadee,na mdogo wangu Ibra.
 
Namshukuru Mungu nimezungukwa na upendo na amani hilo ndio kubwa nililokuwa nahitaji.Kuna mliokuwa mnasema sijiu najificha,naona aibu,sijui sijiamini.Sasa ina maana siendi kazini?siendi hospital/clinic?siendi bank?shopping nipo tu nimejificha?
Kila mtu ana namna yake ya kudeal na vitu kwanza hata picha napiga basi sizipendi,sipendi simu wala computer naona vinanivuruga.
Kuna marafiki zangu ambao wamekuwa sehemu ya maisha yangu kwa hali yoyote sio ile ambayo ipo confortable kwao.Maana kuna marafiki watakuwa karibu na wewe wakati ule unaweza kwenda club huku na kule ukiwa katika hali nyinginge hawakutafuti na hawana mpango na wewe.Utakesha wewe ukiwatafuta ukihisi ni wenzako kumbe siku nyingi walishakudelete.Nawashukuru sana"


I simply love what she wrote.
Some people like keeping it under the blanket and spill it at the right time..learn to give them time and grant them their privacy.

C..

No comments:

Post a Comment