Friday, April 26, 2013

Goodlooks=Trouble..

Dunia ina mambo....
Eti mkaka kafukuzwa nchini kwa sababu ya uhandsome wake,,,lol!!!
Karibu Tanzania kaka, huko hawafukuzi watu...


Huyu jamaa afukuzwa nchini sababu ni handsome sana!Ati officials were afraid women would run naked in the streets after seeing him....Is he too hot for you?

Mshkaji huyu, Omar Bokan Al Gala -mwigizaji na mpigapicha mahiri, amefukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano Mzuri kupindukia (U-Handsome), hali iliyozua wasiwasi kuwa huenda akawachanganya wanawake wa watu.

Mtazamo wako ni nini juu ya tukio hili?

Je ni kweli umeshapoteza mpenzi ama kushuhudia mtu wako wa karibu akipoteza mpenzi kwa kuzidiwa kete na mtu mwenye muonekano mzuri zaidi? Ilikuwaje/ukachukua hatua gani?

Share the experience...
 
Habari zinasema kua, the guy in the picture Omar Bokan Al Gala - who is an actor and a photographer by proffesion has been denied to be in the country (Saudi Arabia) because of his extra hooooot looks..The officers are afraid that women will go crazy over him na ndoa nyingi zitavunjika...
 
Hehehee!!!my ladies what do you think..yay or nay???
mmmmh ila enyewe...duu...
Njoo candilicious will teamwork with you in the papparaziii area.....
 
Smiles..
C...

No comments:

Post a Comment