Friday, March 1, 2013

Maswali ya Kizushi ....

I have two wierd questions but thinkable one....Nilisoma somewhere and it got me into thinking..
Wacha na mimi niulize...

1.Eti kwa karne hii na miaka hiii, do we still have virgins upto 24 years of age, 18?,,21 je?

1. Less than 5%
2. Less 20%
3. Less than 50%
4. Other

Ni kitu gani kinachowafanya wagive up so easly?
Je ni elimu?Utandawazi?Ignorance?jamii au?

2. Eti ndoa nyingi siku hizi zinasababishwa na ujauzito?
Is it true?
Hivi ni correct kweli kusema nimepata mimba kibahati mbaya?mmh?will you call your baby an accident?is it fair?
Kwa nini tusiwe brave enough kuappreciate the pregnancy and saying "this is not an accident but  a blessing"unajua ni wangapi wanalilia watoto?

Loaaaading..........
Nkipata majibu ntarudi.

C...

No comments:

Post a Comment