Friday, March 29, 2013

Pole waTanzania kwa hili Janga....

Jengo la ghorofa 16 limeporomoka katika mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam, watu wanaokadiriwa kufikia 60 inasemekana wamefukiwa. Juhudi za uokoaji zinaendelea hivi sasa.(hii ni hatari...pole Tanzania..

hali halisi....

Photo: Jengo la ghorofa 16 limeporomoka katika mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam, watu wanaokadiriwa kufikia 60 inasemekana wamefukiwa. Juhudi za uokoaji zinaendelea hivi sasa.
 .
.
.
.
 
mmmh wonder what was the cause of this....
Wonder if the engneers did their work well....
Nani wa kulaumiwa....
duu...speechless..
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza ndugu zao.
C...

No comments:

Post a Comment