Friday, March 1, 2013

Big Up Juliana Shonza.

Today am showing love to my girl Juliana...
Daah sikuamini kumuona kafika hapo alipo.
Naeza kusema kitu kimoja kuhusu Juliana, she is brave..
Ameonyesha kufata moyo wake na alichokipenda kukifanya maishani mwake and i can see the leadership in her.
Naweza kusema neno moja tu"God be with her"politics aint an easy game, politics is a d.... game and sometimes it goes by the rule" Survival for the Fittest", "survival for the smartest"....You have to be very strong, close your ears, open them for wisdom only,,wengi watasema but machache ndo ya kuyaangalia na kuyatilia maanani.

Juliana akiwa kazini....
Napata picha hapo utambulisho aliokua akiutoa.12/2/2013..umeona waheshimiwa wanavoangalia hapo nyuma ya picha.(hivi ngekua mimi hapo si ngepoteza fahamu maana kusimama na kujitambulisha tu mbele ya umati kigugumizi kikali)
 
So Juliana is my old friend, we studied together in high school. Alikua my room mate and was among the first people i knew when i joined my high school and we were fortunate to study together in the university of Dar es salaam though she was in a different school from mine, we still met in corridors, stoped for a hi and little chat.
Yes she had to do with leadership when in the university and would always laugh and joke and sometimes make funny comments at her concerning being an M.P..Yes now I  know that everything starts with a step.
As a friend, Juliana is a sweet girl, understanding and one who can make you feel better when you are down, and ofcourse a good joker, plus she is saved. She has a great personality.
She used and still calls me madam Camesh and now am gonn call her 'honorable Juliana for real'
Juliana kama utasoma hii, please Mshikilie Mungu wako kama siku zote, uliposimama ni pagumu na only God can do the rest. Simamia kwenye Ukweli na utainuliwa, Stay determined, be strong and take steps, mi nataka kukuona siku moja umekua "Raisi" si utanialika ikulu jamani...
 
 
                                                                    Akiwa na Viongozi wakuu CCM pamoja na mwanachama mwenzake..
 
 
 
 
Big up my girl.
All the best...
 
C...

 

No comments:

Post a Comment