Saturday, February 23, 2013

Sweety Candy.....Candilicious...

Some Friday love from Cay..

This is what i would say about how i feel about me and how grateful I am to my Perfect Creater(God)..
"How skillful the hands of the artist, Who painted this picture of me, He saw with the eye's of a Master, How beautiful my life could be, Where once was a portrait of gloom and despair, This masterpiece hangs in it's place...."
One thing i know, he created me so perfectly just the way i am..

Sitochoka kuimba na kutambua umuhimu wa Ebeneza maishani mwangu...
"Umbali nimetoka, na mahali nimefika ndio maana ninatambua kwamba wewe ni Ebeneza,Sio kwa uwezo wangu, ila ni kwa uwezo wako,mahali nimefika baba acha nikushuru,....
Ninataka Ebeneza ujenge juu yangu, uwe Msingi wangu, jiwe langu la thamani nakuhitaji sana, Maisha yaliyojengwa juu yako hayavunjiki kamwe....wewe ni sauti yangu, wewe ni uzima wangu""....

Najua nimependwa na ninapendwa...
Ngoja nikusimulie habari ya kijana moja,, anasifa nyingi ila kubwa ni upendo...thamani ya wokovu wangu kaibeba yeye, gharama ya maisha yangu anayo yeye...Maisha ni hazina,iliyo mikononi mwake hakuna ajuae salio la maisha yake,ukiona leo ni mzima kesho hujui itakuaje,,ndo maana nimeona nikukumbushe habari ya kijana wangu, yeye akikupenda hakutoi toi kasoro...Huyu mwanaume ni Yesu...
Namshukuru kwa kunipa tabasamu lisilo kauka usoni mwangu...

Some Instagram editing...Turns to be my fav...
I appreciate every second of my life, and cant Thank God enough for it.
I value everything am given and i know i have a task of taking care of everything that surrounds me, including you who is reading here,,,ask me how?

Spread love..
Smiles...
C...

No comments:

Post a Comment