Wednesday, February 20, 2013

Jide mfano wa kuigwa...

Leo nashow love to Lady Jay Dee..
Namsifu kwa jitihada zake za kimaisha.
Napenda anavoishi maisha yake..
Nyumbani lounge ni idea kubwa na nzuri sana, lady Jay dee's diary inayorushwa East Africa ni kipindi chenye ubunifu mkubwa, blog yake imekaa kijamii na imelenga kusaidia jamii...
Naweza kusema sentensi moja tu...ni mfano wa kuigwa...

Nyumbani lounge...vimiminika vya kutosha...


Ceo mwenyewe,, kikomando zaidi


Mudada ya Musoma...Cute cute..

Some more pix from her blog with her Captain...

Best couple,,,I love their bond...
Sijawahi sikia habari mbaya kuhusiana na ndoa yao..
congzz to them..Mtu wa watu, Jay Dee anapenda marafiki zake, na nahisi wanampenda pia...
Ni mtu wa watu huyu dada...


Mkombotiii wa Moshii...

Pia unajua alikwea mlima kili??
yes she did!!!
Is it not inspiring?...
Amenipa kiu ya kutaka kukwea huu mlima siku moja....


Na hapa ndo ninapompendea zaidi...
Hupiga duster moyo wangu na kinanda na sauti yake...


Last but not least...
Ni mudada akiwa kwenye matukio....
Sio mvivu...
mimi penda hii...

Jide big up!!!

Smiles...
C...

No comments:

Post a Comment